Friday, 19 January 2018

TANZANIA:STANDING ORDERS FOR THE PUBLIC SERVICE 2009-THIRD EDITION (Ukurasa 277-279)

(Soma standing order for public service 2009 3rd edition)
Tanzania kuna sheria na kanuni mbalimbali zinazo ongoza Utumishi wa umma; Kutojua haki zako za msingi mara nyingi watumishi wa Umma wamekuwa wakinyanyasika kupata stahiki zao ambazo serikali inapaswa kutoa kwa mtumishi husika na familia yake. LEO nimeamua kuwaletea kipengele kinacho husu Nani agharamie mazishi ikiwa itatokea mtumishi wa umma umefariki, au mwenzi wako au watato wako ikitokea ame/wamefariki. Hivyo ni jukumu la kila taasisi ya serikali kupanga bajeti ya mazishi kwa watumishi wake, ili kama ikitokea taasisi iweze kukuhudumia.Jambo hili lipo kisheria. Hakuna mtu anayependa kufa, lakini Kifo hakikwepeki na huwezi jua kesho nini kitatokea MUNGU mwenyewe ndiyo anaye jua.

Monday, 25 December 2017

SPIKA WA BUNGE APINGA MPANGO WA WALIMU KUPANGIWA VITUO VYA KAZI NA TAMISEMI








Dodoma. Spika wa Bunge, Job Ndugai amepinga mpango wa Serikali wa kuwapangia vituo vya kazi moja kwa moja walimu wanaoajiriwa, akihoji ni kwanini inapoka madaraka ya Halmashauri.

Ndugai ametoa kauli hiyo leo Jumamosi Desemba 23, 2017 ikiwa ni siku moja baada Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais TAMISEMI, Selemani Jafo kutangaza majina ya walimu 3,033 waliopangiwa vituo vya kazi.

BLOG LIST