Wednesday, 25 October 2017

PATA TAARIFA ZAKO ZA KIUTUMISHI HAPA.










Fuata hatua zifuatazo:
1.fungua link ya watumishi portal.
2.baada ya kufunguka,fanya jambo moja kati ya haya mawili:
i)kama huna email na kama hujawahi kufungua hii link basi yakupasa ujisajili kwa kufuata maelekezo yote.
ii)kama ulishawahi kufungua watumishiportal basi utaingia kawaida kwa kuingiza email yako na neno la Siri.













3)Baada ya kujisajili utapewa maelekezo ya kumalizia usajili wako ambao utakua umeshatumwa kwenye hiyo email yako.
4)Nenda sasa kwenye email yako ifungue kisha kamilisha usajili wako kwa kufuata maelekezo.
5) Baada ya kukamilika usajili sasa watumishi portal itafunguka.
6)Ingiza email yako na neno LA Siri
7)Baada ya kufunguka basi utakutana sehemu tatu zenye maelekezo kwa mtumishi.
8)Sasa waweza kuchagua huduma yeyote uitakayo.
9) kama utachagua huduma za kiutumishi basi moja ya huduma hizo ni pamoja na salary slip yako.
10)kumbuka kuhifadhi namba yako ya Siri.
11)pia Baada ya kusoma taarifa zako waweza kutoa nakala kwa kuprint kwa kubofya icon ya printer inayoonekana kwenye simu yako au computer.

Bofya hii link hapa
watumishiportal.utumishi.go.tz

@@_____mwisho_________

Ukiwa na tatizo lolote kuhusu huduma ya salary slip wasiliana nami.
Kwa kupitia:
1.whatsap namba 0783199300.
2.Barua pepe azizi.omari51@gmail.com
3.Au comment kwenye hii blog yako ya NASA TECH5.


No comments:

BLOG LIST